Furahia usingizi mtulivu na maisha bila msongo wa mawazo!
Naturally relieve stress, boost sleep quality & support your immune system.
Maelezo Mafupi :
Ashwagandha ni mmea wa asili unaotumika kwa karne nyingi kusaidia mwili kukabiliana na msongo wa mawazo (stress) na uchovu wa kimwili.
These capsules offer a natural formula to help calm your nerves, improve sleep, and strengthen your immune response—without side effects.
Faida Kuu :
✔️ Hupunguza msongo wa mawazo na wasiwasi
✔️ Husaidia kulala haraka na kulala kwa muda mrefu
✔️ Huongeza kinga ya mwili
✔️ Huchangia utulivu wa akili na hisia
✔️ Hutoa nguvu na kuondoa uchovu wa kimwili na kiakili
✔️ Husaidia mwili kukabiliana na mazingira ya kazi yenye shinikizo
What’s Inside / Ingredients Summary :
-
Organic Ashwagandha Root Extract
-
Vegetable cellulose capsule
-
Free from gluten, GMOs, dairy, and artificial additives
-
Vegan-friendly
Jinsi ya Kutumia :
Chukua vidonge 1-2 kwa siku, wakati wa chakula au kabla ya kulala.
Suggested use: Take 1–2 capsules daily with water, preferably with a meal or in the evening for sleep benefits.
Other important information :
✅ 60 capsules – matumizi ya siku 30
🔒 Imetengenezwa kwa viwango vya kimataifa
🌱 100% Vegan | Gluten-Free | Non-GMO
🚚 Delivery Tanzania nzima | 💵 Lipia ukipokea
Usiruhusu stress na usingizi duni kuharibu afya yako.
🛒 Agiza Ashwagandha Capsules leo na uanze maisha yenye utulivu na afya bora!
Reviews
There are no reviews yet.